Naomba msaada nimepata tatizo la vipele kwenye úume

karv

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
1,802
Reaction score
3,253
Habari ya wakati huu

Nimepatwa na tatizo la vipele kwenye uume sio kwenye kichwa ni kwenye ngozi ya uume haviumi wala haviwashi kimuonekano kama unavyoona kwenye picha hapo.

Mara ya mwisho kukutana na mwanamke bila kinga ni mwaka mmoja uliopita na mara zote nimekuwa nikitumia kinga au abstain from sex.

Genital hygiene huwa sivai nguo ya ndani bila kuipiga pasi na kubadilishwa kila mara

Kama kuna dawa au njia nzuri ya kuweza kukabiliana navyo naomba msaada [emoji1488]View attachment 2717837

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana! Nenda hospitali ndugu!
 
Uzi bila picha kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…