Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chukua mafuta ya taa paka kwenye unyayo,then baada ya kama dk 5 hivi nawa tu kwa sabuni
Pakaa hina kwenye unyayo wako utapona inshallah ukipona njoo utupe feedback.@Konaballhabari za muda huu ndugu zangu mimi ninamtatizo ya kuumwa na miguu chini ya unyayo aswa nikitoka kulala au nikikaa chini kwa muda mrefu wakati wa kunyanyuka inauma sana je ilo ni tatizo gani?