habari za muda huu ndugu zangu mimi ninamtatizo ya kuumwa na miguu chini ya unyayo aswa nikitoka kulala au nikikaa chini kwa muda mrefu wakati wa kunyanyuka inauma sana je ilo ni tatizo gani?