wataalam mwenza wangu amekuwa akikabwa na kitu shingo anasema nikama vile amekabwa na ugali au kiazi nisiku ya pili sasa,naomba kujua kukabwa huko kunasababishwa na nini? Na nini tiba yake? Natumaini nitapata majibu ya wataalam wa tiba.
Pole sana mara ya mwisho kabla ya kukabwa na hicho kitu shingoni alikula kitu gani?Mpeleke hospitali iliyokuwa karibu na hapo mnapoishi akafanyiwe uchunguzi zaidi.@samilakadunda
nitatizo la muda mrefu huwaanatokewa mara chache na kwamuda mfupi,kuhusu alichokula hatayeye hana kumbukumbu kwani halihiyo ilianza mudamrefu sana. Nashukuru mti mkavu nitafuata maelekezo.asubuhi njema