hebu pitia hii mistari ya eminem kidogoLook, if you had, one shot, or one opportunity
To seize everything you ever wanted-One moment
Would you capture it, or just let it slip?
You better lose yourself in the music, the moment
You own it, you better never let it go
You only get one shot, do not miss your chance to blow
This opportunity comes once in a lifetime yo,
mkuu nimeipitia na nimeielewa, nimeomba msaada ili nisi loose hiyo 1 opportunity kama ipo
mkuu hata vina siwez tunga
mkuu nimeipitia na nimeielewa, nimeomba msaada ili nisi loose hiyo 1 opportunity kama ipo
mkuu hata vina siwez tunga
wapo watunga vina kama sauti inalipa.au ukishindwa kabisa anza na kutafsiri vina vya kina eminem.
sijui wewe unapendelea kuwa nani hapo baadae ila unanafac ya kupata course baadhi katika vyuo ve2 hapa tz.....kama unapenda unaweza soma geology mlimani,IT or Computer science IFM na UDOM unaweza pata course za computer eng,computer science,information system and telecommunication....lakini chagua moyo wako unapopenda.....good luck
mkuu nimesoma students guide book 2012/2013 UD WANATAKA CHEMISTRY O-level uwe na C lakini UDOM hawajaongelea hilo, so hii inaweza kufanya nikose admission UD???
hongera sana! Pgm kwa div 3 uko juu dont wor abt chemistry o level ww apply any engineering except tellecom,electrical,chemical processing,mineral processing....... Wewe unapendelea faculty gan? Post nikushauri.....