tafadhalini wandugu naomba mwenye kujua ilipo shule nzuri ya mchepuo wa sayansi.nina mjomba wangu ndio mwenye uhitaji.ada iwe ya jamaa isiwe ya kifisadi tafadhalini kwani uchumi wenyewe sio mzuri kivile.asanteni kwa msaada wenu.
ndio hizo za kina kayumba naombeni msaada,sio lazima iwe dar,hata mikoa ingine ataenda tu.amemaliza form four ndio anaingia five.hizo za mtoto wa mkulima mimi siwezi jamani nitafutieni za kina kayumba.