Naomba msaada sijui viungo vya pilau

Naomba msaada sijui viungo vya pilau

luci

Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
20
Reaction score
6
Habari wana jf,

Kama mnavyojua kesho sikukuu nataka nipike pilau. Nimenunua viungo ila sivijui vizuri. Pia naomba kujua kama pilau masala ya Zanzibar ni nzuri kwa pilau.
 
Hiliki

Bizari ya pilau

Mdalasini

Pilipili manga

Corriander ukipenda (giligilani).....


Nyama iunge na chumvi saumu na tangawizi...
 
Back
Top Bottom