Naomba Msaada: Tatizo la uume kulegea wakati wa kufanya mapenzi

Status
Not open for further replies.
nimekupata nna tatzo hilo ntapataje tiba?
 
Wadau,

Tusaidiane kuna mwana ameniuliza nimeshidwa kumjibu Ni tatizo gani linasababisha kwa uume kulala katikati ya game? Na mnamshauri nini.
Huyo mwana si angeuliza mwenyewe hapa JF? ungesema tu hili tatizo unalo wewe. Watafute waganga wa kienyeji wakupe dawa za kuongeza nguvu za kiume
 
Sabababu zipo nyingi....kama ambavyo watu wameshazieleza.....lkn hilo tatizo linaweza kusababishwa pia na kutokujiandaa kiakili kufanya hicho kitendo.....mwili kuchoka au kuwa na hali ya kuugua pasipokujua wewe.....kula vyakula ambavyo vitashindwa kukupa nguvu kumbuka kabla ya tendo hakikisha mmekula chakula kizur na umetosheka......kufanya mapenz na mdada ambaye c msafi vitu kama kuwa na harufu flan mbya inaweza ikaathiri uwezo wako wa kufanya vzur.....lkn pia kuna ushirikina kama unaamini lkn....na upigaji punyeto wa kupindukia......kabla hujafanya hicho kitendo na mwenz wako hakikisha mmeoga wote mpo safi kama kuna marashi basi jipulizien.....kuna wakat unaendelea kufanya mapenz ukanusa marashi mazur akili yako inazidi kupump damu kwa nguvu kuelekea kwenye uume ....lkn pia mavazi hasa nguo za. ndanni hakikisheni zipo safi....wanasema First impression matters alot....nikimuona mdada ana nguo za ndani chafu kwa mara ya kwanza ataathir akili yangu hvo sitaweza kudo nae kwa uhuru zaid kwani suala hili huongozwa na akili na akili ikishaanza kuwaza kwamba huyu dada ni mchafu basi itashindwa hata kufanya coordination nzur ya kusukuma damu...
 
Je ku do na msichana mwenye ngoma bila kutumia condom inaweza kusababisha uume kupoteza ufanisi wake?
 
Ndio na inawezekana jamaaa ana Hisia sana (Anxiety) yani round ya kwanza anakojoaaa mapemaaa
 
Wakuu heshima yenu,

Ndugu zangu kuna jamaa yangu anaomba ushauri nimeona niulete jamvini.

Akiiingia na demu kugegeda wanacheza na demu, akiingiza mashine ghafla inalala. Nini tatizo wakuu tumshauri? Ni jamaa yangu sana. Inaniuma anavyohangaika.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
mkuuuu [HASHTAG]#mbekenga[/HASHTAG] summarize nimshauri au hata tiba kama ipo
 
Hufanyi mazoezi na pia huli chakula chenye nguvu.. Ila jaribu kupima na malaria
 
Anywe Juice ya BAMIA na MLENDA itakuwa imara
 
Mpododo haukimbiliwi kwa pupa,Kama vipi apandishe hasira na ku act kama anambaka ,ikilala tena basi ashakuwa kibisa
 
Stress ndio woga ndio chanzo kikuu cha tatizo hilo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…