Naomba msaada, TCU profile inaonesha sikufanya application

Ndugu nataka kujua kama Tcu washatoa majibu ya vyuo kwa 2liomba

Mambo tayari sema bado kuwa released officially. Jana kuna link ilivuja watu waliokuwa fasta wamecheki sema bdae tcu wakashtukia mchezo ikafungwa.
 
Ebu andika vizuri huko,xana xaxa xo ndo nini?
i hope xo mkubwa...mana naskia mtandao wao unazngua xana xaxa sjui wengne tutajuaje kma wa round i mean second sesion au lah..mana hakuna kataarifa inayombia nifanye secnd kma ilvotokea kwa wingne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…