Darlis2016
Member
- Nov 3, 2016
- 81
- 26
usitumie vitu vya baridi inawezekana eneo ilipo ni baridi sanaHabari ndugu zangu,, kiufupi mimi nilifanyiwa operation ya Tonses mwezi July 2015 na baada ya hapo huwa tu nasikia maumivu, sasa Jana nimesikia maumivu makali na leo pia yaani nikimeza kitu kama vile kwenye koo kuna vidonda,, naombeni ushauri na msaada wenu wa kitaalamu ili kumaliza hili tatizo ndugu zangu.
Mimi naishi Dar ndugu yanguusitumie vitu vya baridi inawezekana eneo ilipo ni baridi sana
Yule doctor nimempigia mchana akasema kwasasa yupo Mbeya, ila akanishauri nitafute Ampiclox nimeze nimefanya hivo maumivu yakapoa kama saa moja hivi then yakarejea tena.ushauri mkubwa wa kukufaa ni kumcontact dr aliyekufanyia hio opareshen umwambie hali yako kwa sasa.
sababu yeye ndio anajua history yako ya ugojwa
Pole mkuu, tumia umalize dozi nina uhakika utapona ampiclox inafaa.Yule doctor nimempigia mchana akasema kwasasa yupo Mbeya, ila akanishauri nitafute Ampiclox nimeze nimefanya hivo maumivu yakapoa kama saa moja hivi then yakarejea tena.
Nashukuru sana ndugu yanguPole mkuu, tumia umalize dozi nina uhakika utapona ampiclox inafaa.
Concept itakayo mponyesha mtu atakaye tumia njia hiyo si hayo marimao yaliyokatwa! Bali yale Maji ya uvuguvugu atakayokuwa anasukutua mgonjwa!...marimao ni Acid; ...dawa nzuri nikuacha kunywa vya baridi, na kunywa vya moto, chai, na ile kusukutua na Maji ya moto yenye chumvi kidogo ni tiba tosha! Marimao ni radha tu ilibuniwa ili unapokunywa ile harufu ivutie but it's nothing.Jamani dawa ya tonses ni rahis sana na haina gharama sema ushafanyiwa opareshen ni hivi kwa wengine.
CHUKUA RIMAO KATA VIPANDE VINNE CHEMSHA TIA NA CHUMVI KIDOGO VICHEMKE MPAKA VIWE VYA KIJANI OPOA MIMINA MAJI YAKE ACHA YAPOE KIDOGO YANI YAWE YA UVUGUVUGU KISHA KUNYWA USIMEZE YAISHIE KWENYE KOO SUKUTUA NA KUTEMA. UKIFANYA HIVO SIKU MBILITU YANAISHA NA UNAPONA KABISA... PIA EPUKA VITU VYA BARIDI KAMA VILE BARAFU NK.
kama unapata na homa au kichwa unaweza tumia hii augmentin 625mg 14 tabletsMimi naishi Dar ndugu yangu
Ukiweza kutumia Clindamycin dose ya siku saba utakuwa poaNimeanza kuwashwa kooni juzi na baadaye nikapatwa na homa kali kiasi hata kutembea nashidwa, miguu haina nguvu baada ya kwenda dispensary niliambiwa ni Malaria nikapewa Mseto.
Baada ya kumaliza ndiyo nikazidiwa zaidi na kutokwa na vidonda kooni kama vinavyoonekana, nimenunua Azithromycin na Pen V leo siku ya tatu lakini sioni mabadiliko.
Naomba msaada wenu.
View attachment 1342952
Sent using Jamii Forums mobile app