Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,952
Bandugu,
Ninakaribia kurudi nyumbani, ila nina vitabu ninavyovitumia binafsi kwa malengo ya elimu. Nakumbuka kusikia kuna vitabu vilishawahi kupigwa marufuku Tanzania (najua vingine kwa uhakika k.m. Satanic Verses, Unfit for Human Consumption, n.k).
Ni kosa kisheria kuwa nacho - hata kama sikusudii kuuza, kuazimisha au kumuonyesha mwingine?