R Ramso5 Member Joined Dec 13, 2011 Posts 63 Reaction score 8 Aug 19, 2013 #1 Ndugu wadau kwa yeyote mwenye mapenzi mema anayefahamu anwani au barua pepe ya jaji kiongozi au anayeweza anisaidia ni jinsi gani ninaweza kutuma malalamiko yangu yaweze kufika kwake moja kwa moja,nitashukuru kwa msaada wenu.
Ndugu wadau kwa yeyote mwenye mapenzi mema anayefahamu anwani au barua pepe ya jaji kiongozi au anayeweza anisaidia ni jinsi gani ninaweza kutuma malalamiko yangu yaweze kufika kwake moja kwa moja,nitashukuru kwa msaada wenu.