Naomba msaada wa App ya kubadili mwandiko bila kuroot simu

Naomba msaada wa App ya kubadili mwandiko bila kuroot simu

shangwe1

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
448
Reaction score
362
Naomba msaada wa app ya kubadili mwandiko (font) kwenye simu ya samsung bila kuroot simu
...samsung a10s
 
Naomba msaada wa app ya kubadili mwandiko (font) kwenye simu ya samsung bila kuroot simu
...samsung a10s
Sio kila simu inaSupport third Party fonts.
Samsung huwa zina Inbuilt fonts tofauti tofauti, ila kama simu yako sio samsung unaweza kuDownload fonts zikakubali au zikakataa.

Ingia playstore tafuta FONTS , downlaod na ujaribu kwenye simu yako.
 
Naomba msaada wa app ya kubadili mwandiko (font) kwenye simu ya samsung bila kuroot simu
...samsung a10s
Unatumia samsung alafu unahangaika na fonts ?.

Karibu kwenye rosemary font.
 
Attachments

  • Screenshot_20201031-211339_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20201031-211339_Samsung Internet.jpg
    58.6 KB · Views: 87
Samsung gani unatumia wewe ? Yangu A10,hauna samsung account?
Screenshot_20201031-211558_Galaxy%20Store.jpg
 
Nenda display,kisha front size and style, nenda chini kuna + download front,bonyeza hapo,kama una samsun account itafunguka mfano wa picha pale juu,,nenda kwenye top free upakue
 
ʍաǟռɖɨkօ kǟʍǟ ɦʊʊ ǟʊ[emoji16][emoji16][emoji3]
 
[emoji742]🆄 🅼🆆🅸🅽🅶🅸🅽🅴 🅷🆄🆄 [emoji16][emoji16]
 
Ḧ̤ṳ̈ṳ̈ ṳ̈n̤̈ä̤ï̤ẗ̤ẅ̤ä̤ s̤̈ḧ̤ö̤l̤̈ï̤n̤̈ f̤̈ö̤n̤̈ẗ̤
 
Back
Top Bottom