Kwani hakuna built-in?Naomba msaada wa app ya kubadili mwandiko (font) kwenye simu ya samsung bila kuroot simu
...samsung a10s
Sio kila simu inaSupport third Party fonts.Naomba msaada wa app ya kubadili mwandiko (font) kwenye simu ya samsung bila kuroot simu
...samsung a10s
Unatumia samsung alafu unahangaika na fonts ?.Naomba msaada wa app ya kubadili mwandiko (font) kwenye simu ya samsung bila kuroot simu
...samsung a10s
Nenda play store download hiyo utanishukuru baadaeView attachment 1617120
Mkuu naomba kufahamu kuhusu hiyo tuneinradio pro malipo yake yakoje? Utotauti wake na hii ya kawaida.Nenda play store download hiyo utanishukuru baadaeView attachment 1617120
Mkuu nashukuru nimefanikiwa na imekubali maana zilizokuepo zolikuwa za kununua kwa hiyo ikawa inanipa tabu kubadiri.Nenda play store download hiyo utanishukuru baadaeView attachment 1617120
[emoji106]Mkuu nashukuru nimefanikiwa na imekubali maana zilizokuepo zolikuwa za kununua kwa hiyo ikawa inanipa tabu kubadiri.