beka the boy
Senior Member
- Nov 6, 2018
- 167
- 97
Natumia si unaiona hapo kwa mbali[emoji23]!
!
Mkuu Ina Maana Huna VPN Au?
Na Kavpn
Hii nilidownload kwenye group moja telegram linaitwa african hackersMkuu naomba kufahamu kuhusu hiyo tuneinradio pro malipo yake yakoje? Utotauti wake na hii ya kawaida.
Karibu ulimwenguni mkuu
Hii si hadi simu uwe umeroot auNenda play store download hiyo utanishukuru baadaeView attachment 1617120
Mie simu yangu ni Samsung a10 kavu na wala sijairoot, imekubali bila tatizo loloteHii si hadi simu uwe umeroot au
Nimefanikiwa mkuu nakushukuru sanaNenda play store download hiyo utanishukuru baadaeView attachment 1617120
YapMie simu yangu ni Samsung a10 kavu na wala sijairoot, imekubali bila tatizo lolote