Naomba msaada wa codes za TCU

Naomba msaada wa codes za TCU

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Wana Jamii naomba msaada,

Dogo kapewa codes kutoka TCU ili aziweke akiwa ana confirm kuchagua chuo. Amekuwa selected UDSM, ila akiweka hizo codes UDSM wanasema ziko invalid.
Tumejaribu kuwapigia kwa namba zao hawapokei..

Mwenye msaada au info yoyote, jinsi kufanya, direct contacts ..nitashukuru
 
System ya codes ilishawashinda. Wakikua wanawatumia wanafunzi wote wenye multiple selections lakini naona kabisa sahivi zinawashinda.

Cha kufanya awe mvumilivu, watatoa njia nyingine ya kuverify, sana sana watasema Chuo utakacho report ndio iko iko ume verify, otherwise kama upo Dar nenda TCU hapo.
 
Kwani code ya kuverify wanatoa TCU au chuo ulichoomba mkuu. Mbona kama umeanza kuchanganya madesa watu hapa. haha
 
Wana Jamii naomba msaada,

Dogo kapewa codes kutoka TCU ili aziweke akiwa ana confirm kuchagua chuo. Amekuwa selected UDSM, ila akiweka hizo codes UDSM wanasema ziko invalid.
Tumejaribu kuwapigia kwa namba zao hawapokei..

Mwenye msaada au info yoyote, jinsi kufanya, direct contacts ..nitashukuru
Aende kwenye vyuo alivyochaguliw a request confirmation code ila akipew aingize kweny chuo anachopenda
 
Wana Jamii naomba msaada,

Dogo kapewa codes kutoka TCU ili aziweke akiwa ana confirm kuchagua chuo. Amekuwa selected UDSM, ila akiweka hizo codes UDSM wanasema ziko invalid.
Tumejaribu kuwapigia kwa namba zao hawapokei..

Mwenye msaada au info yoyote, jinsi kufanya, direct contacts ..nitashukuru
Ulipata majibu?? Nina shida kama hio
 
Ulipata majibu?? Nina shida kama hio
Ingia kwenye account ya moja wapo ya vyuo ulivyochaguliwa request kutumiwa codes kwa kuingiza namba ya F4 na namba ya Simu iliyohewani preferably mitandao hii VODA,TIGO na AIRTEL. Uzoefu unaonyesha wanaopata invalid codes watumia mtandao ambao sijautaja hapo na hasa km wanatumia simu za kawaida
 
Back
Top Bottom