Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Kwani code ya kuverify wanatoa TCU au chuo ulichoomba mkuu. Mbona kama umeanza kuchanganya madesa watu hapa. haha
Aende kwenye vyuo alivyochaguliw a request confirmation code ila akipew aingize kweny chuo anachopendaWana Jamii naomba msaada,
Dogo kapewa codes kutoka TCU ili aziweke akiwa ana confirm kuchagua chuo. Amekuwa selected UDSM, ila akiweka hizo codes UDSM wanasema ziko invalid.
Tumejaribu kuwapigia kwa namba zao hawapokei..
Mwenye msaada au info yoyote, jinsi kufanya, direct contacts ..nitashukuru
Ulipata majibu?? Nina shida kama hioWana Jamii naomba msaada,
Dogo kapewa codes kutoka TCU ili aziweke akiwa ana confirm kuchagua chuo. Amekuwa selected UDSM, ila akiweka hizo codes UDSM wanasema ziko invalid.
Tumejaribu kuwapigia kwa namba zao hawapokei..
Mwenye msaada au info yoyote, jinsi kufanya, direct contacts ..nitashukuru
Ingia kwenye account ya moja wapo ya vyuo ulivyochaguliwa request kutumiwa codes kwa kuingiza namba ya F4 na namba ya Simu iliyohewani preferably mitandao hii VODA,TIGO na AIRTEL. Uzoefu unaonyesha wanaopata invalid codes watumia mtandao ambao sijautaja hapo na hasa km wanatumia simu za kawaidaUlipata majibu?? Nina shida kama hio