Naomba msaada wa damu group O negative kuokoa maisha ya baba yangu

Bado sijafanikiwa ila ukweli nashukuru sana wanajf mnanipa moyo na kunifariji wa wengi mnaonesha hata nia ya kunisaidia/na wapo manaonisaidia hata kwa mawazo!!! Naomba muendelee kunisaidia hata kwa maombi natumai leo Mungu atatenda bado tunahangaika kwenye mahospital!!
 
Dah mm nina nishaambiwa ninayo group O tatzo naogopa kupima ngoma kaka..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
damu haichagui dini, chama, kabila, jinsia, hali (ulemavu ama la) tusaidie ktk hili......chama bora na makini, dini bora na ya kweli, kabila bora na lenye hadhi, jinsia yenye kutaka kutawala jinsia nyengine ni ile ama ni wale wenye nia ya kuokoa maisha na kufanya dunia iwe sehemu bora ya kuishi
 
Dah mm nina nishaambiwa ninayo group O tatzo naogopa kupima ngoma kaka..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

mhhhh kaka ni hatari sana!!! Pima hata kama sio kumsaidia baba yangu ila hata kwa faida yako!!
 

asante sana
 
Swali tu la kizushi, Inakuwaje mtu ana damu group flani? zinatokea wapi? ni kurithi au?
 
Swali tu la kizushi, Inakuwaje mtu ana damu group flani? zinatokea wapi? ni kurithi au?

naomba hii uweke kama mada inayojitegemea!!! Coz hizo notifikation za majibu nitakuwanazipata na kumbuka nipo makini sana na hii thread so itakuwa kama usumbufu kwangu!! Sor.
 
naomba hii uweke kama mada inayojitegemea!!! Coz hizo notifikation za majibu nitakuwanazipata na kumbuka nipo makini sana na hii thread so itakuwa kama usumbufu kwangu!! Sor.

Sorry sikua na nia mbaya nilikuwa najaribu kujua kutoka kwa wataalam kama kuna uwezekano huyu fiance wangu ambaye ni mjamzito kapata hiyo group kwa wazazi wake directly ili nikiwa na uhakika nijaribu kuwavaa wakaangalie groups zao tukusaidie maana wote wapo hai na wala si wazee. Mi mwenyewe nimeguswa na hili na nshaanza kufikiria ikitokea siku mchumba akihitaji damu itakuwaje? Hivyo kusaidiana ni vizuri zaidi.
 

sawa kaka haina shida!
 
Acha ubahiri zama mfukoni nenda dam salama na kama gongo ishirini tuuu (kama kweli uko serious), eeeheeee usiulize sana ndo ma-ccm yalipotufikisha hapo! okoa maisha ya mzee kwanza mambo mengine baadayee, usilie lie humu jamvin wakati mzee anataseka labda kama unatania!
 

Mpwa....hutaki mchezo, mimba kwanza ndoa baadae.
Hongera.
 
Mpwa....hutaki mchezo, mimba kwanza ndoa baadae.
Hongera.

Ni kama mke madam B, nakaa naye huu mwaka wa 2 tunaelekea wa 3. Bado tu kuhalalisha ila sidhani kama kuna tofauti.
 
maege msikilize papason kata mpunga sidhani kama bank ya dam salama hawana o-,nyoosha mkono dada/kaka
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ndg, bt Mungu ni mwema hufanya njia pasipo na njia, all da best
Ndugu zangu baba yangu ni
mgonjwa sana yupo hindul mandal, tumeshahangaika kama familia kupata
damu tumeshindwa!!! Nawaombeni ndugu zangu mnisaidie!!! 0714148504 plz
mbarikiwe sana.
 

yaan kaka pesa sio tatizo kabisa hata wakitaka million ila shida ni upatikanaji wa hiyo damu!!! Real niko seriouslly tushahangaika sana!!! Na kama kuna mwenye hilo group kwa gharama yoyote tupo tayari!!!! Jamani aminini tunahangaika sana 0- ni challenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…