Naomba msaada wa damu group O negative kuokoa maisha ya baba yangu

Last edited by a moderator:

Acha kumdanganya mwenzio. Hali ya mgonjwa kwa sasa ni mbaya mpk kutakiwa hiyo transfussion.
Huo ushauri ni kwa watu ambao hawapo ktk hatari aliyomo mzee wa mshkaji hapa.
Usishangae mgonjwa mwenyewe analishwa kwa mipira puani, halafu wewe wataka apewe nazi sijui na aloe vera!
 
If your blood type is O negative, you are a rare individual indeed.
Only 7% of the world population has blood type O negative. For this reason, it is often in short supply. You may notice that blood drives often specifically ask for O negative individuals to donate.
 

hadi sahv bado hatujapata.
 
Ivi kwenye ishu ka hii shekhe anaweza akakataa damu ya kafiri mla kitimoto kweli?
 
Poleni sana jamni,may he get well soon,..
But navojua O positive ni universal donor,au haimatch kwa hyo rhesus factor negative tu ?

Hiyo habari haipo dunia ya leo, tena make sure haematologist hawakusikii kabisaa.
 
kaka vipi, mgonjwa anaendeleaje? ulifanikiwa kupata damu?
 
Baba yangu amefariki!! Tutakuwa dar kwa muda then tutasafirisha kwenda kirua vunjo moshi kwa mazishi.
 
Yaani rh- ni tatizo sana kwa watu hawa damu zamu kupata ni rare sana. Na kwa bahati mbaya mzee wa Maege ameshatangulia mbele za haki. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.Amen.
 
Pole sana kaka hata mimi mwaka jana nimempoteza mama yangu mdogo kwa suala hili hili la damu.
 
Duuh pole sana ndugu
Hii post ndio nimeiona leo ila laiti ningeiona kabla ningekusaidia I'm -Rh pole sana ndugu...yote mipango ya Mungu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…