Naomba msaada wa dawa ya kichomi cha mbavu

Naomba msaada wa dawa ya kichomi cha mbavu

Africa one

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Posts
244
Reaction score
111
Ni siku ya nne sasa nabanwa na kichomi cha mbavu, nilienda hospitalini nikapima wakasema ni pneumonia inanisumbua nikapewa dawa nikatumia lkn bado maumivu yako pale pale hayajapungua,kimebana upande wa kushoto chini ya kwapa.
Hivyo naomba kama kuna mdau anawezanisaidia dawa au ushauri dawa ya kutumia anisaidie.
 
Paka mate chua nayo inasaidia, but it worked for me sometimes may be na kwako inaweza saidia
 
Back
Top Bottom