Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tafuta dawa moja ipo kama crime inaitwa MEDIVEN (BETAMETHASONE OINTMENT), punguza nywele hapo alafu paka asubuhi na jioni.
Pia hata staili ya unyoaji inawezekana haikuwa sahihi.
ila anza na hiyo dawa .
Habari wakuu, naomba msaada wa dawa ya kuondoa vipele nyuma ya kichwa
View attachment 252440
View attachment 252440