mbasa ya konge JF-Expert Member Joined Nov 10, 2015 Posts 207 Reaction score 481 May 19, 2016 #1 Wakuu naomba dawa au ushauri wa namna ya kuutunza ulimi kwan nimekuwa na tatizo la kutokwa kama vidonda kwenye ulimi halafu na kupotea kwa muda mfupi. Sina HIV wala kisonono na huwa natatumia antibiotic aina ya axmoxyllin yanatoka halafu ya baada ya siku chache
Wakuu naomba dawa au ushauri wa namna ya kuutunza ulimi kwan nimekuwa na tatizo la kutokwa kama vidonda kwenye ulimi halafu na kupotea kwa muda mfupi. Sina HIV wala kisonono na huwa natatumia antibiotic aina ya axmoxyllin yanatoka halafu ya baada ya siku chache
Magari Aina Zote JF-Expert Member Joined Jul 31, 2012 Posts 3,150 Reaction score 528 May 19, 2016 #2 Mkuu angalia usikute tatizo lako limetokana na kuzama chumvini, maana iliwahi kuelezwa madhara ya kuzama chumvini yanaathiri sana ulimi na koo Otherwise unahitaji uchunguzi wa kina kwa tatizo lako.
Mkuu angalia usikute tatizo lako limetokana na kuzama chumvini, maana iliwahi kuelezwa madhara ya kuzama chumvini yanaathiri sana ulimi na koo Otherwise unahitaji uchunguzi wa kina kwa tatizo lako.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,056 May 19, 2016 #3 Inaweza kuwa Lack of vitamin C Jaribu kula sana machungwa na vitu vyote vinavyoweza kukupa vit C au nunua vile vidonge vya vitamin C utumie kwa muda huenda ikakusaidia
Inaweza kuwa Lack of vitamin C Jaribu kula sana machungwa na vitu vyote vinavyoweza kukupa vit C au nunua vile vidonge vya vitamin C utumie kwa muda huenda ikakusaidia