Strong ladg
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 1,357
- 3,114
Milioni 4?? Sio kwelii
Ni kiasi gani kwa sasa ndugu ?.Samahani kama utaweza kunielezeaMilioni 4?? Sio kweli
Hiyo 25000 ndo atalipa mara nne ili kwa mwaka iwe jumla laki moja ?Walipa kodi wamepungua kwa mjibu wa takwimu, hivyo ajipange kulipa kodi. Ambayo ni kuanzia 250,000(sina uhakika sana) kwa anae anza biashara. Baada ya mwaka inaongezeka au atabaki palepale kulingana na assessment au efd receipts kama atakuwa anatoa.
250,000 kwa mwaka yaani kila baada ya miezi minne inakuwa ni 62,500.Hiyo 25000 ndo atalipa mara nne ili kwa mwaka iwe jumla laki moja ?
Anhaa. Asante250,000 kwa mwaka yaani kila baada ya miezi minne inakuwa ni 62,500.
Hana ofisi, Asante sana.Anauza online? Hana duka au ofisi? Kama ndio, basi hakuna kodi zaidi ya labda ya kodi za serikali za kurusha matangazo au kodi za serilikali za umiliki wa mitandao kama youtube channel.
Kama atakua na ofisi, basi anapaswa kuwa na tin, atafanyiwa tathmini kujua kama mauzo yake kweli ni chini ya 4m kwa mwaka. Kama ndio basi hatalipa kodi ila atapewa kitambulisho maalumu. As time goes by, anaweza kujikuta anaanza kulipa