Shikamooni wakubwa, naomba msaada wenu nimechaguliwa kua mwenyekiti kwenye group yetu ambayo malengo tulipeleke mpaka lije kua taasisi. Najaribu kukataa kwamba sisitahiri kutokana na elimu yangu ukilinganisha kwamba kuna watu wana elimu zaidi yangu lakini hata tulipo piga kura nilishinda.
Siogopi kua kiongozi naamini ntaweza katika yeye anitiaye nguvu. Lakini muuliza njia sio mjinga kiukweli mimi sina idea kabisa na majukumu ya m/kiti au katibu kwenye nyanja yeyote tafadhari naombeni msaada wenu.
ASANTE.