Naomba msaada wa elimu ya uongozi.

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
748
Reaction score
367
Shikamooni wakubwa.
naomba msaada wenu nimechaguliwa kua
mwenyekiti kwenye group yetu ambayo
malengo tuipeleke mpaka ije kua taasisi
najaribu kukataa kwamba sisitahiri kutokana
na elimu yangu ukilinganisha kwamba kuna watu
wana elimu zaidi yangu lakini hata tulipo piga kura
nilishinda. siogopi kua kiongozi naamini ntaweza katika
yeye anitiaye nguvu. lakini muuliza njia sio mjinga
kiukweli mimi sina idea kabisa na majukumu ya m/kiti au katibu
kwenye nyanja yeyote tafadhari naombeni msaada wenu.
ASANTE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…