Naomba msaada wa gari RAV4

upeo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2013
Posts
369
Reaction score
218
Habarini wakuu, naomba msaada wa gari tajwa hapo juu. Mimi mgeni kidogo wa hizi gari, je mnaweza kuniambia hii RAV4 uzuri wake na ubaya wake ni manual, na ulaji wake wa mafuta.

Asanteni sana

 
Habarini wakuu, naomba msaada wa gari tajwa hapo juu. Mimi mgeni kidogo wa hizi gari, je mnaweza kuniambia hii Rav4 uzuri wake na ubaya wake ni manual, na ulaji wake wa mafuta.

Asanteni sana

View attachment 1288475View attachment 1288478
Daah mzee baba hii Rav 4 model hii itakua imezalishwa kutoka kiwanda cha Toyota kilichoko katavi nadhani.
 
Kuwa open mzee baba unamanisha ni kabila kongwe sana sio?
 
kama kweli kahesabu hizo millioni na akavuta hiyo "RAV 4" ni kilaza wa kutupwa.
 
Kwa dalili hizi ulizozionesha unaenda kutapeliwa muda sio mrefu, hiyo sio rav4.
 
Halafu hiyo gari yenyewe mbona kama ina miezi tangu imepark hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…