Naomba msaada wa haraka kwa mwenye mapenzi mema

Aiseee babaangu sisi wa tz 2natatizo moja 2nataka 2wapate wapenzi ambao hawana mapungufu hata moja na hilo haliwezekani kila binadamu anamapungufu yake cha msingi elewana na huyo dada mtarekebishana badaye
 

dada Kongosho hapa ndo "ninakokupendeaga" ushauri wako umepenya mpaka kwenye mifupa,

hapa kwenye red, inawezekana ndo maana mpaka sasa hivi sijamwambia "I LAV U" "SIWEZ PUMUA BILA WW" nk
 
IF YOU look FOR A GF yes, but for a wife please run, hakuna kitu kibaya kama PR ya mwanamke ikiwa hovyo, she represent you, so na hiyo character you can imagine the presentation, she must have a tough and violent Mother ....


 
MwEeh! Kwani wewe umeanza kazi tu hapo 3 months ago already unawaza kustaafu hapo hapo? Vijana wa siku hizi mnawaza kama kina Nyerere!

kwa kipindi hicho nitakapokuwepo hapo, tunaweza haribu hata kaz za compun, manake tunafanya kaz moja
 
SnowBall lakini ukumbuke ndoa ni agano la milele, na kutaka kuingia kwa kuhisi mambo yatabadilika , je asipobadilika na kumuacha ndo haiwezekani coz kikristo ndoa ni mpk kufa...mi nadhani ndoa sio ya ku gamble eti atabadilika au hatabadilika, bora uwe na hakika na unachokita ndo hicho ukionacho au lah
 
Last edited by a moderator:

Na mimi ndio maana nimemshauri kuwa bado anao muda wa kurekebishana na huyu GF wake..
Natambua tabia ya mtu ni sawa na ngozi but inataka muda wakati mwingine kuthibitisha kama hiyo kweli ni tabia yake au ni mazoea tu ambayo yanatokana na aina ya maisha anayoishi. All in all he will never catch a full perfect woman..
 
IF YOU look FOR A GF yes, but for a wife please run, hakuna kitu kibaya kama PR ya mwanamke ikiwa hovyo, she represent you, so na hiyo character you can imagine the presentation, she must have a tough and violent Mother ....
ujumbe umefika kwa wakati mkuu
 
SnowBall now we are sailing in same boat, jamaa ajipe time...aone kama mlimbwende atabadilika au la... ikishindikana apotezee japo its true hakuna mtu perfect lakini uangalie imperfection ziwe torelable...
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe Mabreka, unaumwa nini hadi uanze kufikira ndoa huyo dada hata kabla hamjawa marafiki???

Nashindwa kujua kwa nini vijana wa siku hizi mnatembea kwa kutumia reverse gear!!


Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Babu DC!![/QUOTE]
mie nawaza ndoa kwa sasa hiv, coz mambo ya GF nimotosheka nayo, nataka mtu wa kuishi nae kwa shida na raha, sio GF tunaowatafuta pindi tukipata "mpunga"
 
Babu DC!!
mie nawaza ndoa kwa sasa hiv, coz mambo ya GF nimotosheka nayo, nataka mtu wa kuishi nae kwa shida na raha, sio GF tunaowatafuta pindi tukipata "mpunga"

Unajua tofauti ya GF na mchumba (mke mtarajiwa)???

Can you draw a line between them?

Ndiyo maana bado nashangaa!!

Babu DC!!
 
For comfortable journey of life,
Just reduce
the luggage of desires!

hata hivyo
Take risks in your life
If you win, you can lead!
If you lose, You can Guide!
 
communication is key to marriage but scores zero in that department = not wife material
 
ingawa niechelewa namshukuru sana SnowBall kwa kuniita na pia niutambue mchango wa AshaDii ulojaa maujanja ya kutosha. binafsi nikwambieukweli mdogo wangu mke lazima awe tu mwenye haiba na nidham ya asili. nidham hii ndio ile tunayosema awe na heshima na pia ikaongezwa awe na upendo kwa watu wote asibague tu.

sasa kama anabagua watu huyu ni mtusi huyu hapana ama kama anaweza kumtusi mtu baki sembuse ngugu zako ama mama yako? to me namdisquaify kabisa hakufai kwa kipengele hicho. mwanamke wa stail hii anafaa kwa mwanaume wa aina tofauti yaani mwenye matus kama yy ila asokuwa na matus ni ngumu sana.

tulia mwombe Mungu akupatie mwenza aliyefanana na wewe na wala si kukata tamaa na kuangalia eti kisa niko close na huyu na watu wanaona tunapendezana basi nimchukue lol!
 
Last edited by a moderator:
hapa dada gfsonwin umekata mzizi wa fitna,
senkyu sana.
 

Ki ukweli tabia ni kama rangi ya ngozi kubadilishika ni ishu. Kinachotakiwa usitangaze nia kwanza, jaribu kumchunguza why ana tabia hyo.watu hudai kuwa mazingira alokulia mtu yanaweza kumfanya akawa hvyo. So usiwe na papara, nenda taratibu ukishajua sababu mwamishe mawazo anaweza akarudi laini akawa poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…