Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rejea kichwa habari,
Imeanza ghafla kadiri muda unavyozidi kwenda najihisi kichwa kizito na kifua kinabana.
Siwezi hata kuinama.
Nashukuru.
mkuu una nipa wasi wasi ebu hapo ulipo..jaribu ku gusisha kidevu chako na kifua..na maanisha jitahd kuinamisha kichwa kiguse kifua unipe mrejesho haraka....maana shngo kukaka maa ghafla ni dalili ya meningitis..
shingo haiinami hata degree mojamkuu una nipa wasi wasi ebu hapo ulipo..jaribu ku gusisha kidevu chako na kifua..na maanisha jitahd kuinamisha kichwa kiguse kifua unipe mrejesho haraka....maana shngo kukaka maa ghafla ni dalili ya meningitis..
wakuu nimezidiwa dua zenu.........
wakuu nimezidiwa dua zenu.........
Wakuu namshukuruni sana kwa ushauri wenu, nilikwenda Hospitali nimetibiwa,
ni kweli nimekutwa na balaa la uti mgongo (meningitis),nashukuru kwa ushauri wenu ulionipa hofu na kulipa uzito suala hili na hatimaye kupata matibabu.
shukran za pekee kwa definition
Sasa najiuliza ugonjwa huu nimeupata wapi?
Naweza vipi kudhibiti ili nisiambukize wengine?

Ya Mungu mengihongera mkuu...kwaku fanikiwa ku iwahi mapema..!!! mara nyingi meningitis husababishwa na bacteria& parasite virus ni kwa kiwango kidogo...!! common ni hao fangus aina ya cryptoccocus meningitis..na bactria aina ya streptoccocis meningitis& Neisseria meningitis...wana enezwa kwa njia ya hewa through inhalation of air droplets kutoka kwa infected patient....pia wanakuwa kwenye vumbi wakati ukivuta hewa since wanakuwa ni capsulated....!!!
ili kuzuia kusambaza ugonjwa huu jitahidi ukiwa una kohoa au kupga chafya ujizuie au ujitahidi kufanya tendo hilo mbali na watu..!!! na kwa hao fangasi aina ya cryptoccocus jitahidi usiwe na contact za njiwa pamoja na popo kwani wanakuwa kwenye kinyesi vyao kama normal flora.
meningitis ina tibika iwapo uta iwahi....waweza tumia antbiotic ...ila ni vizuri kufanyiwa lumber puncture( kutobolewa uti wa mgongo) ili diagnosis i determine ni aina gani ya pathogeni ....!!!
pia bado najiuliza umepataje meningitis corse kesi nyngi za meningitis nazo zipataga niza watoto na za watu wenye upungufu wa kinga mwilini....!!! anyway...
hongera mkuu...kwaku fanikiwa ku iwahi mapema..!!! mara nyingi meningitis husababishwa na bacteria& parasite virus ni kwa kiwango kidogo...!! common ni hao fangus aina ya cryptoccocus meningitis..na bactria aina ya streptoccocis meningitis& Neisseria meningitis...wana enezwa kwa njia ya hewa through inhalation of air droplets kutoka kwa infected patient....pia wanakuwa kwenye vumbi wakati ukivuta hewa since wanakuwa ni capsulated....!!!
ili kuzuia kusambaza ugonjwa huu jitahidi ukiwa una kohoa au kupga chafya ujizuie au ujitahidi kufanya tendo hilo mbali na watu..!!! na kwa hao fangasi aina ya cryptoccocus jitahidi usiwe na contact za njiwa pamoja na popo kwani wanakuwa kwenye kinyesi vyao kama normal flora.
meningitis ina tibika iwapo uta iwahi....waweza tumia antbiotic ...ila ni vizuri kufanyiwa lumber puncture( kutobolewa uti wa mgongo) ili diagnosis i determine ni aina gani ya pathogeni ....!!!
pia bado najiuliza umepataje meningitis corse kesi nyngi za meningitis nazo zipataga niza watoto na za watu wenye upungufu wa kinga mwilini....!!! anyway...
safi sana mkuu Dr definitionpole sana wahi hosptal mara moja....history taken nilio chukuwa kwako japo haitoshelezi probabilty yakuwa na meningitisi ni 90% as longer auku tenguka shingo wala kulala vibaya.....dalili za ghafla za shingo ku kaka maaa(stiff neck) huwa zina sababishwa na inflamation za meningitis ambazo huletwa na pathogens mostly wakiwa ni Cryptoccocus meningitis...Neisaeria meningitis na parasitites kama trypanasomes crus,rhodesianse....!!
cha msingi ni kwenda hospital naku fanyiwa lab diagnosisi ya CSF hapo watakutoa lumber pucture(hichi kipimo kina maumivu sana)
NOTE: unavyo chelewa ndio hali yako itazidi kuwa mbaya na hao pathogens wana weza fika kwenye ubongo nakuleta madhara zaidi.....!!!!