Naomba msaada wa haraka wadau

Mr kaluta

Member
Joined
Jan 28, 2021
Posts
8
Reaction score
5
Ninayo Toyota Spacio New Model, ni cc 1490 ya mwaka 2004, ingine 1nz-fe.

Kwa mwenye ujuzi naomba kujua hii gari inaingia lita ngapi za transmission fluid.

Naomba msaada katika ili wadau ili nisije nikaua gear box ya gari yangu, mafundi wa mtaani wananichanganya sana aisee.
 
4 litre
 
Ni lita 4 mpaka 7. Inayegemea na jinsi mtu alivyomwaga hiyo Oil.
 
Ni lita 4 mpaka 7. Inayegemea na jinsi mtu alivyomwaga hiyo Oil.
Asante sana kaka, wakati ninainunua fundi aliniwekea lita 3 kamili, sasa service nyingine imefika nimeshangaa wameweka zile 3 ikapimwa ikawa ipo chini ikaongezwa mpaka lita 4 ndio ikawa sawa. Nikawa na wasi wasi isije ikawa ni over filling
 
Inawezekana mara ya kwanza iliwekwa lita chache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…