Naomba msaada wa hatua na namna za kuanzisha Kampuni

Mlangaja

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
579
Reaction score
218
Ndugu wana JF nimekuwa na maono ya kuanzisha kampuni ya uzalishaji, usindikaji na uuzaji wa zao la zabibi kwa mda mrefu ila sijui hatua za namna ya kuanzisha kampuni. Nipenda kampuni ya ushirikiano yaani partnership kwani ni rahisi kwangu kuisimamia.
Kwa yeyote anayefahamu naomba msaada wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…