Poleni na shughuri za ujenzi Wa taiga, naomba msaada Wa kujua ni hatua zipi napaswa kupitia pamoja na gharama ambazo natakiwa kuzilipa ili nipate hati kamili, kiwanja hicho nilikinunua kwa mtu kikiwa kimepimwa na kinaoffer hivyo nahitaji kupata hati.