Naomba msaada wa hii kesi jamani

Joined
Sep 1, 2018
Posts
30
Reaction score
42
Bosi wangu amenipa kazi ya ujenzi lakini kwenye makubaliano ya pesa yangu sikutaka nilipwe mimi nikataka alipwe mama yangu na bosi akakubali bali hio pesa bosi wangu hakutoa Cash akatoa Cheque. Baada ya mama yangu kwenda Bank akaambiwa cheque ni feki kwahio anaetakiwa kulalamika mahakamani ni nani wakati bosi alitoa cheque halali . .
Karibuni katika business law
 
Kama bosi alitoa Cheki halalii hiyo Feki katengeneza mama yako au???
 
Hakuna kesi hapo, mrudishie Cheque yake Boss wako akupe cash kwani pesa bado haijatoka kwenye A/c yake. mkikagua mtajiridhisha kuwa malipo yamefanyika au bado
na si vizuri ufanye kazi wewe umuandike mtu mwingine, ni kosa, kwani kuna mambo ya Kodi,na makato mengine lazimau uyalipe kwa Serikali yetu
 
Asante ndugu kwa mchango mzuri wa mawazo shukrani
 
Kasome negotiable instruments jibu liko wazi nani mwenye locus standi...
 
jibu lina mashiko sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…