Naomba msaada wa jinsi ya kuandaa Party Event

Naomba msaada wa jinsi ya kuandaa Party Event

mzawa098

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
253
Reaction score
210
Kwema wakuu naomba kupewa ujuzi wa kuandaa party event kwa mfano kumkodi msanii kwa ajili ya show ningeomba kupewa mchanganuo mzuri kuanzia kukodi ukumbi mpaka navoweza kupata faida thanks in advance
 
Inategemea mahali ulipo, gharama za ukumbi, mwamko wa watu kulingana na event yako ili uweze kuweka makadirio, gharama ya kumlipa huyo msanii, matangazo, kibali na vitu vingine nilivyovisahau.
 
Naskia huwa wanapiga pesa kwenye vinywaji na sio viingilio vya mlangoni. Hkikisha vinywaji unapandisha bei kidogo
 
Inategemea mahali ulipo, gharama za ukumbi, mwamko wa watu kulingana na event yako ili uweze kuweka makadirio, gharama ya kumlipa huyo msanii, matangazo, kibali na vitu vingine nilivyovisahau.

Asante pretty kwa mfano kutokana na uzoefu wako nataka nifanye show ya mwanamuziki wangu billcanas ni hatua zipi nifate na faida ntaionea wapi
 
Naskia huwa wanapiga pesa kwenye vinywaji na sio viingilio vya mlangoni. Hkikisha vinywaji unapandisha bei kidogo

Itawezekana vipi kama nimekodi club ya mtu kwa ajili ya show yangu moja tu
 
Back
Top Bottom