Kwema wakuu naomba kupewa ujuzi wa kuandaa party event kwa mfano kumkodi msanii kwa ajili ya show ningeomba kupewa mchanganuo mzuri kuanzia kukodi ukumbi mpaka navoweza kupata faida thanks in advance
Inategemea mahali ulipo, gharama za ukumbi, mwamko wa watu kulingana na event yako ili uweze kuweka makadirio, gharama ya kumlipa huyo msanii, matangazo, kibali na vitu vingine nilivyovisahau.