D dar stamina Member Joined Jul 11, 2015 Posts 19 Reaction score 10 Sep 28, 2015 #1 Wanajamvi, Naomba kusaidiwa kupata mchanganuo mzuri wa kugawana faida ya Biashara na business partner wenzangu.
Wanajamvi, Naomba kusaidiwa kupata mchanganuo mzuri wa kugawana faida ya Biashara na business partner wenzangu.
stanleyRuta JF-Expert Member Joined Jul 19, 2014 Posts 851 Reaction score 519 Sep 29, 2015 #2 Hakikisheni mtaji unawekwa pembeni kwa kupewa kipaumbele cha kwanza.....then kila mtu atagawiwa faida kulingana na mtaji alioweka katika hiyo biashara.....hesabu za uwiano zitahusika hapo
Hakikisheni mtaji unawekwa pembeni kwa kupewa kipaumbele cha kwanza.....then kila mtu atagawiwa faida kulingana na mtaji alioweka katika hiyo biashara.....hesabu za uwiano zitahusika hapo