Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una tatizo la lugha ya Kingereza? Kwanini usiingie tu youtube?Nimejaribu kuangalia lakini naona inatumika katika sabuni za miche
Kama utapenda Nina kitabu kizuri Cha ujasiliamali kina masomo zaidi ya 20 ambayo yanahusu utengenezaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo hiyo ya sabuni ya maji. Kimeandikwa Kwa kiswahili.Kuna post humu jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji kwa kutumia caustic soda na salfonic acid pekee
Kwa mwenye uelewa naomba atufafanulie vizuri
Kama utapenda Nina kitabu kizuri Cha ujasiliamali kina masomo zaidi ya 20 ambayo yanahusu utengenezaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo hiyo ya sabuni ya maji. Kimeandikwa Kwa kiswahili.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Nilinunua Tsh. 6,000/=Kiweke hapa
Hadi somo la kutengeneza mafuta ya mgando ya kupaka mwilini, mishumaa na mafunzo mengi mengi meeengi tuNilinunua Tsh. 6,000/=
Ukiitaji nikuuzie Kwa punguzo au nikupe namba ya Mwl. Wa ujasiliamali aliyeniuzia.
Over
Toa pesa ufundishwe hakuna ujuzi wA bureKuna post humu jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji kwa kutumia caustic soda na salfonic acid pekee
Kwa mwenye uelewa naomba atufafanulie vizuri
"BURE ALIKUFA NA KWENYE KABURI LAKE UMEOTA MBUYU"Toa pesa ufundishwe hakuna ujuzi wA bure
Hela ipo ya mafunzo madam tuingie site[emoji1787][emoji1787]ambae anaefahamu jinsi ya kutemgeneza izo sabuni Hana brand kwasasa ila nimjuzi naomba anicheki pm