Naomba msaada wa jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji

socha

Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
42
Reaction score
24
Kuna post humu jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji kwa kutumia caustic soda na salfonic acid pekee
Kwa mwenye uelewa naomba atufafanulie vizuri
 
Kuna post humu jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji kwa kutumia caustic soda na salfonic acid pekee
Kwa mwenye uelewa naomba atufafanulie vizuri
Kama utapenda Nina kitabu kizuri Cha ujasiliamali kina masomo zaidi ya 20 ambayo yanahusu utengenezaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo hiyo ya sabuni ya maji. Kimeandikwa Kwa kiswahili.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Nilinunua Tsh. 6,000/=
Ukiitaji nikuuzie Kwa punguzo au nikupe namba ya Mwl. Wa ujasiliamali aliyeniuzia.
Over
Hadi somo la kutengeneza mafuta ya mgando ya kupaka mwilini, mishumaa na mafunzo mengi mengi meeengi tu
 
🤣🤣ambae anaefahamu jinsi ya kutemgeneza izo sabuni Hana brand kwasasa ila nimjuzi naomba anicheki pm
 
[emoji1787][emoji1787]ambae anaefahamu jinsi ya kutemgeneza izo sabuni Hana brand kwasasa ila nimjuzi naomba anicheki pm
Hela ipo ya mafunzo madam tuingie site
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…