kwann ucngefanya kaz kwanza ujipange? First degree mkopo masters msaada,hv hz elimu zinatukomboa fikra kwel?
Mie ni mkazi wa hapa Dar es Salaam. Nimepata nafasi ya kusoma "MSc in Development Policy and Practice for Civil Society" Chuo Kikuu cha Mzumbe tawi la Dar es Salaam. Masomo yanaanza mwezi ujao wa November. Karo ni TSh 4,800,000. Nina kiasi kidogo tu kisichozidi 1,000,000.
Mwenye kuguswa na ombi langu na ana nafasi ya kuniungisha niweze kuziba hili pengo, namuomba awasiliane na mie kwa namba 0764530660. Account No. yangu ni 5011740008 UMOJA Bank. Nitashukuru kwa atakayenisaidia.Aksante
Ndugu yangu nimetoa namba yangu ya simu ili niweze kupatikana kwa urahisi na ikihitajika kuthibitisha utarajiwa wa uanafunzi wangu hapo chuoni basi nifanye hivyo kwa aliyetayari kwa ombi langu.Tutakuaminije?
Mie ni mkazi wa hapa Dar es Salaam. Nimepata nafasi ya kusoma "MSc in Development Policy and Practice for Civil Society" Chuo Kikuu cha Mzumbe tawi la Dar es Salaam. Masomo yanaanza mwezi ujao wa November. Karo ni TSh 4,800,000. Nina kiasi kidogo tu kisichozidi 1,000,000.
Mwenye kuguswa na ombi langu na ana nafasi ya kuniungisha niweze kuziba hili pengo, namuomba awasiliane na mie kwa namba 0764530660. Account No. yangu ni 5011740008 UMOJA Bank. Nitashukuru kwa atakayenisaidia.Aksante
umefikaje mpaka hapo kielimu?ndugu yangu nimetoa namba yangu ya simu ili niweze kupatikana kwa urahisi na ikihitajika kuthibitisha utarajiwa wa uanafunzi wangu hapo chuoni basi nifanye hivyo kwa aliyetayari kwa ombi langu.
Tafuta kazi ufanye ndugu yangu! Kuna rafiki yangu aliamua kuendelea na Shahada ya Pili na akafanikiwa kumaliza, baada ya kumaliza, kila akitafuta kazi anaambiwa je unao uzoefu? Wengine "hatuna hela za kukulipa mshahara". Pia kumbuka ya kwamba, kwa mtu anayeanza kazi atalipwa kwa kigezo cha Shahada ya Kwanza.
mkuu naomba unijulishe biashara gani inalipa huko msumbiji, nataka nifanye hiyo business, naomba unijuze mkuu.