true that!!wabongo tukibadilisha fikra zetu tutafika mbali sana,tatizo letu sisi sio viongozi wala mafisadi,tatizo ni sisi wenyewe na tunaitaji mapinduzi ya fikra kabla ya mapinduzi ya kiuongozi...ebu fikiria mtu anahangaika kwa ajili ya ada ya milioni nne,ingekuwa ametangaza harusi ndugu wangemchangia hadi milioni kumi ila elimu ilo lake..siku izi mchango wa harusi kiwango cha chini ni elfu 70...ina maana wakipatikana wachangiaji 60 tayari angepata milioni nne.inabidi tubadilike jamani..tuchangiane ata kwenye maendeleo.