Naomba Msaada wa Katiba ya Kikundi chaJamii cha Kusaidiana

Naomba Msaada wa Katiba ya Kikundi chaJamii cha Kusaidiana

Erick_Otieno

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2010
Posts
624
Reaction score
1,023
Wakuu hapa mtaani tumeanzisha kukundi cha kijamii cha kusaidiana kwenye shida na raha. Nimepewa jukumu la kutengeneza katiba itakayosimaimia hiki kikundi chetu. Naomba msaada wa sample ya katiba ya kikundi cha jamii.

Asanteni sana
 
mfuko wako umekaaje nikutumie katiba ndugu?
 
kama uko serious ni PM tukamilishe deal
 
Back
Top Bottom