Erick_Otieno JF-Expert Member Joined Mar 28, 2010 Posts 624 Reaction score 1,023 Nov 3, 2011 #1 Wakuu hapa mtaani tumeanzisha kukundi cha kijamii cha kusaidiana kwenye shida na raha. Nimepewa jukumu la kutengeneza katiba itakayosimaimia hiki kikundi chetu. Naomba msaada wa sample ya katiba ya kikundi cha jamii. Asanteni sana
Wakuu hapa mtaani tumeanzisha kukundi cha kijamii cha kusaidiana kwenye shida na raha. Nimepewa jukumu la kutengeneza katiba itakayosimaimia hiki kikundi chetu. Naomba msaada wa sample ya katiba ya kikundi cha jamii. Asanteni sana
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,652 Nov 3, 2011 #2 mfuko wako umekaaje nikutumie katiba ndugu?
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,652 Nov 3, 2011 #3 kama uko serious ni PM tukamilishe deal
Erick_Otieno JF-Expert Member Joined Mar 28, 2010 Posts 624 Reaction score 1,023 Nov 3, 2011 Thread starter #4 ndyoko said: mfuko wako umekaaje nikutumie katiba ndugu? Click to expand... Mfuko wangu ni sifuri...ni kazi ya kujitolea!
ndyoko said: mfuko wako umekaaje nikutumie katiba ndugu? Click to expand... Mfuko wangu ni sifuri...ni kazi ya kujitolea!