Alikosea kuondoka kienyeji chuo si mbaya kuanza upya arudi chuo umri una ruhusu ,cha kushangaza wewe na yeye mmeichagua ccm
Sasa hapa umetoa ushauri au utopolo?Pamoja na kwamba sina ushauri kwa hili, lakini ngoja niseme hivi.....
Binafsi nimekua nikiwaambia watoto wangu mara kadhaa kwamba, hata uwe na akili kama malaikia then ukakosa adabu/nidhamu, wewe ni sawa na takataka.
Alicho kifanya huyo mdogo wako ni utovu mkubwa wa nidhamu kwa kuacha chuo kienyeji. Na nadhani alijaribu kufanya shortcut ili kufikia mafanikio chap, na leo sasa imemgharimu yeye na inawaumiza hadi familia yake.
Kwahiyo mwakani wakianza ku apply tena chuo a apply tu au hata sasaAombe tena chuo tu
Mungu alituumba kila mmoja na uwezo ama utashi wake kwenye kila jambo.Sasa hapa umetoa ushauri au utopolo?
Mimi nimekuelewa, tatizo kila anae sema ukweli daima hapendeki, anachukiwa. So sad!Mungu alituumba kila mmoja na uwezo ama utashi wake kwenye kila jambo.
Na sio kila panapo ombwa ushauri, basi wote lazima tushauri. Lakini pia kuto kushauri haukumaanishi basi marufuku ya kuchangia hoja.
Na kwakumakizia, nikukumbushe tu kwamba kabla ya kuchangia hoja, nilitoa angalizo.
Hiyo sio vita au siasa zenu,,, uncle katoa into zuri,, huenda dogo akaaply chuo then akawa mwaka wa 3 katikat ajira ikamuhitaji kwa ujuaji wake ataacha masomo akimbilie ajira baadae kuja kugundua ndani ya ajira hana cheti cha ujuzi au kazi kwishey ilikuwa ni ya tempo huoni ni ujinga?Sasa hapa umetoa ushauri au utopolo?
Msamehe maadam na yeye akili zake zipo km za mtoa madaMungu alituumba kila mmoja na uwezo ama utashi wake kwenye kila jambo.
Na sio kila panapo ombwa ushauri, basi wote lazima tushauri. Lakini pia kuto kushauri haukumaanishi basi marufuku ya kuchangia hoja.
Na kwakumakizia, nikukumbushe tu kwamba kabla ya kuchangia hoja, nilitoa angalizo.
Katika Maisha na hata kwa Mwenyezi Mungu huwa hakuna Neno Kuchelewa au Kuwahi hivyo yaliyotokea kwa huyo Mdogo wako chukulia kama Changamoto za Kimaisha na wala zisikuumize au Kukuvunja Moyo. Kuhusu Kuendelea na Masomo ya Chuo Kikuu si lazima sana akasome Chuo hicho hicho japo hata akisema aombe tena nafasi hapo pamoja na kwamba aliacha Kienyeji bado ana nafasi kama ukipangilia vyema Hoja zako.Habari zenu wakuu,
Nina mdogo wangu alihitimu Form 6 mwaka 2017 na kupata division two na kuchaguliwa kwenda UDSM kusomea BED akaripoti kama mwezi hivi zikatokea nafasi za kwenda JKT akaacha chuo na kwenda huko na bahati mbaya zaidi hakuhairisha masomo kisheria aliondoka tu kienyeji.
Sasa wiki hii katupigia simu kua wanajiandaa kurudishwa mwezi wa 12 kwani mkataba wao JKT umeisha na hawakufanikiwa kupata ajira ndani ya hiyo miaka 3.
Kiukweli imetuumiza sana ila ndio hamna namna, so nilikua naombeni mawazo yenu wadau nianzie wapi jinsi ya kumsaidia mwenye wazo lolote aniambie tu. Na hata mwenye uwezo wa kumsaidia hata kiajira cha kijishikiza usisite kumsaidia.
Na je, nauliza km mtu aliacha chuo kienyeji anaweza ku-apply tena na akapata?
Asanteni
Nikweli mwali, ili maisha yaendelee.... Tunapaswa kumumiliana na pia kusameheMsamehe maadam na yeye akili zake zipo km za mtoa mada
Huyo insane achana naeMungu alituumba kila mmoja na uwezo ama utashi wake kwenye kila jambo.
Na sio kila panapo ombwa ushauri, basi wote lazima tushauri. Lakini pia kuto kushauri haukumaanishi basi marufuku ya kuchangia hoja.
Na kwakumakizia, nikukumbushe tu kwamba kabla ya kuchangia hoja, nilitoa angalizo.
aki apply atapata. lakini nashauri asisome BED aangalie kozi nyingine itakayomfaa. vyuo vya kuapply ni TIA CBE UDSM Mzumbe, Uhasibu - Arusha hivi vyuo ada zao sio kubwaHabari zenu wakuu,
Nina mdogo wangu alihitimu Form 6 mwaka 2017 na kupata division two na kuchaguliwa kwenda UDSM kusomea BED akaripoti kama mwezi hivi zikatokea nafasi za kwenda JKT akaacha chuo na kwenda huko na bahati mbaya zaidi hakuhairisha masomo kisheria aliondoka tu kienyeji.
Sasa wiki hii katupigia simu kua wanajiandaa kurudishwa mwezi wa 12 kwani mkataba wao JKT umeisha na hawakufanikiwa kupata ajira ndani ya hiyo miaka 3.
Kiukweli imetuumiza sana ila ndio hamna namna, so nilikua naombeni mawazo yenu wadau nianzie wapi jinsi ya kumsaidia mwenye wazo lolote aniambie tu. Na hata mwenye uwezo wa kumsaidia hata kiajira cha kijishikiza usisite kumsaidia.
Na je, nauliza km mtu aliacha chuo kienyeji anaweza ku-apply tena na akapata?
Asanteni
Naiondoa Law kwenye list. Ni Tumaini na Mzumbe pekee wanatoa ya miaka mitatu. Vyuo vingine Law ni miaka minne, ongeza na miwili sijui mmoja wa Law School.aki apply atapata. lakini nashauri asisome BED aangalie kozi nyingine itakayomfaa. vyuo vya kuapply ni TIA CBE UDSM Mzumbe, Uhasibu - Arusha hivi vyuo ada zao sio kubwa
mfano wa kozi ni:-
procurement
Human resource
accounts
Law
Hata leo. Kama dirisha lipo wazi la maombiKwahiyo mwakani wakianza ku apply tena chuo a apply tu au hata sasa
Umeongea fact mkuu.....koz ya law inataka mtu fresh from schoolNaiondoa Law kwenye list. Ni Tumaini na Mzumbe pekee wanatoa ya miaka mitatu. Vyuo vingine Law ni miaka minne, ongeza na miwili sijui mmoja wa Law School.
Zingatia form six katoka mwaka 2017.
Na hiyo Law sio ugali kila mtu aweze. Kuna kada unatakiwa usome ukiwa na kipaji sio uvamie. Mtu aliyeacha chuo kimagendo hunishawishi kama anaweza faa kwa Law.