Naomba msaada wa kimawazo wa kumsaidia mdogo wangu

mwaka wetu law Udsm walikuwa wanachukua Division one tu.

Siku hizi wameacha?
 
Hawez kupata cha muhimu aende tcu watamuelekeza jinsi ya kuandika barua ataenda udsm afu atakuja kumalizia tena tcu anaweza kufanya ata saizi kipindi dirisha limefungwa ili likufunguliwa apate rasi ibo watamtema afu hatokuwa anaelewa shida nn
 
Aanze upya, hizo ndo opportunity costs, uzuri tayari ana pesa, hata akikosa boom ajilipie.
 
Na sisi waswahili tunasema..kilicho mkononi ndio chako..alishaanza masomo ya chuo hivyo alipaswa ashilie hapo..kwa sasa aanze upya tu.
 
Na jeshi la Tanzania hakuna mafanikio, ni kuuza tu UHURU wako.

Ni takataka.

Usiache shughuli zako na kukimbilia jeshini hususani ukiambiwa uanzie JKT. Ni utopolo.

Tatizo la wabongo hawaoni hata miezi 6 mbeleni, wanaishi kwa vijimatumaini matumaini tu visivyokuwepo
 

Unamtoa kwanza kuku kwenye mikono ya kicheche ndio unampa darasa kuchunga vichakani sio vizuri kuna hatari. Ushauri mzuri sana lakini kwa hii kesi, anahitaji nini kifanyike kuanzia hapa alipo.

Tukirudi kwenye mada. Mie nashauri aombe kazi makampuni ya ulinzi huku akiwa amepeleka maombi ya kusoma Open University. Kijana naona yeye shauku yake kubwa kufanya kazi, suala la kusoma ni kama kutimiza ratiba tu.

Nimeshauri kazi ya ulinzi kwa vile tayari ana vigezo na uzoefu wa mafunzo aliyopata JKT.

Akipata Open University ataweza kusoma huku akiendelea na kazi yake.

Mwisho,
Mrs minel , mkimuuliza yeye anataka nini majibu yake yakoje?
 
...In Kweli ulichoandika maana Wazee wetu Waliisha Sena 'Mchuma Janga hula na Wa Kwao'....kwa akili ya Kawaida Kabisa, hivi unawezaje Kuacha Chuo Kikuu bila taarifa yoyote ili uende JKT 'kubahatisha' Kupata Ajira bila kushauriana na mkubwa hats mmoja tu was familia yenu?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…