Naomba msaada wa kisheria katika hili

Naomba msaada wa kisheria katika hili

Myhope

Senior Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
154
Reaction score
67
Mwajiriwa aliyefukuzwa kazi kwa kosa la wizi kisha akaenda kufungua mgogoro wa kikazi CMA na kushinda kesi. Je, baada ya hapo anaweza kumfungulia kesi Mwajiri wake kwa kosa la kumchafulia jina?
 
Mwajiriwa aliyefukuzwa kazi kwa kosa la wizi kisha akaenda kufungua mgogoro wa kikazi CMA na kushinda kesi. Je, baada ya hapo anaweza kumfungulia kesi Mwajiri wake kwa kosa la kumchafulia jina?
Kama alifukuzwa kwakosa, huyo mfanyakazi hana haki. Lakini kama alifukuzwa kwa tuhuma, haki anayo.
 
Back
Top Bottom