The tolerance 1
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 404
- 517
Habari zenu Wana jamvi,naomba msaada wa kisheria kuhusu kubadili jina nililosomea kwenda jina langu halisi.
Ipo hivi nilipoanza kidato Cha kwanza nilitumia jina la mtu ambaye aliacha shule so nikatumia jina Hilo mpaka nikamaliza chuo, kwa sababu nlikuwa na shauku kubwa Sana ya kusoma sikuwaza effect zake za badae maana ningebadili nikiwa form two.
Je, Kuna uwezekano wa kubadili hili jina ninalotumia ambalo lipo kwenye cheti Cha kuzaliwa na vyeti vyote vyya shule?
Asanteni