The tolerance 1
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 404
- 517
Asante Sana,labda hatujaelewana mahali,Yani ni hivi jina lililopo kwenye cheti Cha kuzaliwa na vyeti vyote vya taaluma sio jina langu,nilitumia jina la mtu kusomea coz yy aliacha shule,so ninachohitaji ni kuwa je Kuna uwezekano wa kubadili hili jina lililopo kwenye vyeti vyote liwekwe jina langu halisi? Nikimaanisha kubadilisha kuanzia cheti Cha kuzaliwa,kitambulisho Cha NIDA na vyeti vyote vya taaluma ambavyo vina jina ambalo si langu?Badilisha cheti cha kuzaliwa na cha Taifa visomeke kwa majina ya vyeti vya kitaaluma.
Mwigulu Nchemba alifanya hivyo na historia yake ni kama yako hivyo hivyo.
Mwigulu Nchemba jina lake ni Lameck Madelu.
Umeelewa?
sasa hiyo si impersonation asije akawa mwenzio kafa unataka utembelee nyota yake kisa jamaa msomiAsante Sana,labda hatujaelewana mahali,Yani ni hivi jina lililopo kwenye cheti Cha kuzaliwa na vyeti vyote vya taaluma sio jina langu,nilitumia jina la mtu kusomea coz yy aliacha shule,so ninachohitaji ni kuwa je Kuna uwezekano wa kubadili hili jina lililopo kwenye vyeti vyote liwekwe jina langu halisi? Nikimaanisha kubadilisha kuanzia cheti Cha kuzaliwa,kitambulisho Cha NIDA na vyeti vyote vya taaluma ambavyo vina jina ambalo si langu?
Aliyesoma ni Mimi,Ila nilitumia jina lake kwa kuwa aliacha shule tangu akiwa la Saba,Sasa silitaki Hilo jina maana kwanza ni la kiislamu na Mimi ni mkristo,pili kwenye vyeti vya watoto litanichanganya,sasa hiyo si impersonation asije akawa mwenzio kafa unataka utembelee nyota yake kisa jamaa msomi
NChi zilizoendelea hili ulilofanya inaitwa wizi wa utambulisho identity theft.Aliyesoma ni Mimi,Ila nilitumia jina lake kwa kuwa aliacha shule tangu akiwa la Saba,Sasa silitaki Hilo jina maana kwanza ni la kiislamu na Mimi ni mkristo,pili kwenye vyeti vya watoto litanichanganya,
Ndio inawezekana Tengenezewa deed poll ,peleka ikasajiriliwe itakusaidia kubadilisha majinaHabari zenu Wana jamvi,naomba msaada wa kisheria kuhusu kubadili jina nililosomea kwenda jina langu halisi.
Ipo hivi nilipoanza kidato Cha kwanza nilitumia jina la mtu ambaye aliacha shule so nikatumia jina Hilo mpaka nikamaliza chuo, kwa sababu nlikuwa na shauku kubwa Sana ya kusoma sikuwaza effect zake za badae maana ningebadili nikiwa form two.
Je, Kuna uwezekano wa kubadili hili jina ninalotumia ambalo lipo kwenye cheti Cha kuzaliwa na vyeti vyote vyya shule?
Asanteni
Hukuona shida ya hilo jina la Kiislam wakati unafoji na kulitumia kupata elimu lakini sasa umepata elimu kwa jina hilo ndio unaona umefanikiwa ndio unalidisi hilo jina. Wewe ulipaswa kushtakiwa kwa kughushi na kufanya udanganyifu. Tena inawezekana huyo kijana alifaulu mkambania wewe ukatumia jina lake kusomea.Aliyesoma ni Mimi,Ila nilitumia jina lake kwa kuwa aliacha shule tangu akiwa la Saba,Sasa silitaki Hilo jina maana kwanza ni la kiislamu na Mimi ni mkristo,pili kwenye vyeti vya watoto litanichanganya,