Peleka malalamiko yako "idara ya kazi" watakusaidia kupata haki yako .Habar ya mida wakuuu, nilikuw naomba mwenye kuelewa hii kitu anisaidie, Mimi Kuna restaurant nilikuw nafanya kazi takriban mwaka mmoja na nusu ila nimekuja kufukuzwa kaz Leo kwa mazingira ya kutatanisha na bira kupewa salary yangu ya mwezi huu naomba msaada wenu wakuu
Habari, ili kupata msaada wa ushauri wa kisheria katika platforms kama hizi ambazo ni free of charge, jitahidi sana kuwa muwazi. Yaani eleza story yooote kuhusu suala lako halafu wajuzi wa mambo ndio wakushauri.Habar ya mida wakuuu,
Nilikuw naomba mwenye kuelewa hii kitu anisaidie, Mimi Kuna restaurant nilikuw nafanya kazi takriban mwaka mmoja na nusu ila nimekuja kufukuzwa kazi Leo kwa mazingira ya kutatanisha na bira kupewa salary yangu ya mwezi huu.
Naomba msaada wenu wakuu.