Mimi ni mpangaji kwenye flani huku nilipo
sasa nimepewa notice na mwenye nyumba
notice ya mwezi mmoja tu wakati huo
nilikua nilishalipa kodi ya miezi mi3 je
sheria inasemaje kwa mwenye nyumba
kumpa notice mpangaji wake?je ile sheria
ya kupewa notice na muda wa miezi 3 ukae
bure ilibadilishwa?
Mimi ni mpangaji kwenye flani huku nilipo
sasa nimepewa notice na mwenye nyumba
notice ya mwezi mmoja tu wakati huo
nilikua nilishalipa kodi ya miezi mi3 je
sheria inasemaje kwa mwenye nyumba
kumpa notice mpangaji wake?je ile sheria
ya kupewa notice na muda wa miezi 3 ukae
bure ilibadilishwa?
Hiyo ya mwezi moja ni halali'ndio ilishabadilishwa we jipange uondokeMimi ni mpangaji kwenye flani huku nilipo
sasa nimepewa notice na mwenye nyumba
notice ya mwezi mmoja tu wakati huo
nilikua nilishalipa kodi ya miezi mi3 je
sheria inasemaje kwa mwenye nyumba
kumpa notice mpangaji wake?je ile sheria
ya kupewa notice na muda wa miezi 3 ukae
bure ilibadilishwa?
kama ulipanga kwa mkataba na haujakiuka mkataba wala usijari endelea kudunda mkataba utakulinda. kama umekiuka imekula kwako. na kama hauna mkataba anapaswa kukupa notice ya miezi mitatu au akupe kodi ya miezi mitatu mbali na kodi yako,
kokudo,
Hili ni jukwaa ambalo huwezi kupata msaada hata kwa jambo dogo kama hilo.
Inabidi ufanye research yako mwemyewe kuhusu sheria zinazotumika kwenye suala la kupanga / kupangisha nyumba.
Mimi ni mpangaji kwenye flani huku nilipo sasa nimepewa notice na mwenye nyumba notice ya mwezi mmoja tu wakati huo nilikua nilishalipa kodi ya miezi mi3 je sheria inasemaje kwa mwenye nyumba kumpa notice mpangaji wake?je ile sheria ya kupewa notice na muda wa miezi 3 ukae bure ilibadilishwa?
Kama umepangishwa na Mzungu basi nenda mahakamani udai sheria hiyo.
Ila kama ni mswahili basi hata leo fanya uhame zako kabla hujabebeshwa mzigo wa majini.
Wenye nyumba waswahili ukiwafanyia ubishi hawakawii kukuzingua kijadi
Hakunipa mkataba
Kwani mkataba wenu unasemaje kuhusu notice za kuhama au kusitisha mkataba? Vinginevyo kama mkataba wa miezi mitatu upo ni sharti umalize kodi yako vinginevyo anatakiwa kurejesha kodi with penalty only if and only if mliandikiana hivyo. Pia pengine mkataba unasema kama umeleta ukorofi kwa wapangaji au mwenye nyumba basi unaondolea haraka. Ni lazima kuwe na tatizo, si rahisi akupe tu notisi uondoke. Nenda kashitaki serikali za mtaa au mjumbe ili muweke mambo sana kulingana na mkataba wako ndipo kama ukishindwa unaweza kusonga mbele kumshtaki. Na unapata zuio la kuhama haraka. Ila wakuu, kuwa na makazi yako binafsi ni raha kupita raha zote hata kama utalia uji wa chumvi ndani yake. Kazana siku moja utakuwa na kwako.