Naomba msaada wa kisheria nimepewa NOTICE na mwenye nyumba wangu

Kumbuka wewe muomba msaada kuwa kuna sababu za kusitisha mkataba nazo ni 1. Mkikubaliana kufanya hivyo kabla ya muda 2. Kuisha kwa muda muliokubaliana 3. Kuvunja vipengele mlivyokubaliana katika mkataba 4. Mambo ya yalioyo nje ya uwezo wenu kama vile mafuriko na nk. Kwa mujibu ya maelezo yako inaonekana umevunja vipengele vya mkataba ambavyo ni kama kushindwa kulipa pesa kwa wakati, unaharibu nyumba yake au kuna mambo unayafanya katika nyumba hiyo ambayo alikukanya hutakiwi kuyafanya kwa mujibu wa la s. 89
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…