Naomba msaada wa kisheria

Emma504

Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
20
Reaction score
12
Ninakesi na mtu fulani mahakama ya mwanzo. Nilimkopesha kiasi cha pesa kwa kuandikishiana, lakini sasa yeye anadai kwamba nilimkopesha kwa riba na analeta shahidi siku ya maamuzi ya kesi. Na huyo shahidi hakuwepo wakati tunaandikishiana. Nifanyaje hapa wadau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…